Tetesi zinasema beki makini wa Liverpool Jonathon Patrick "Jon" Flanagan atasaini mkataba mpya na the Kop...Kutokana na umahiri wake Liverpool wamempa mkataba wa miaka 3 zaidi ambao muda wowote atasaini...Dogo huyu mwenye umri wa miaka 23 alikaa nje kwa muda baada ya kuumia goti na akaanza kucheza mwezi wa 1...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar